Jumatano, 10 Julai 2013

3 Week - JUNE: Mazoezi Uwanja wa Kawe Round About

Kama ilivyo ada, hili ni juma lingine la TATU katika mwezi huu wa Sita (June) wadau walijumuika tena katika viwanja vya Kawe Round About na soccer ilipigwa kisawia.

Na matukio yalikuwa kama hivi... 
Apa wadau wakijiandaa

 

  

Mazoezi yakaanza rasmi....

  






 

 Daaaah uyu kocha atatuua hoii....