Silver Pipe Veteran
Kama ilivyo ada, hili ni juma lingine la TATU katika mwezi huu wa Tano (May) wadau walijumuika tena katika viwanja vya Kawe Round About na soccer ilipigwa kisawa. Mahudhurio hayakuwa mazuri sana kwani wengi wao walikuwa wamekwenda shuhudia mpambano wa watani wa jadi Simba Vs Yanga
| Bw. John Mero (Kulia) akibadilishana mawazo na Bw. Kanta dakika chache kabla ya kuanza mazoezi |
![]() |
| Bw. Alex akifanya mazoezi binafsi akionyesha skills na kontrol |
![]() | |||||||
| Bw. Kapya akiwa kwenye mazoezi binafsi akionesha skills na kontrol |
![]() |
| Bw. Saidi nae akifanya yake, vitu binafsi kabla ya mazoezi ya jumla |
| Bw. Bato (Kulia) na Bw. Joseph (Kushoto) wakifanya yao kabla ya mazoezi ya jumla |
| Bw. Nicolas (Striker) akifanya moja-mbili na kupasha misuli kabla ya kujumuika na timu |
| Bw. Kanta (Midfilder) akiudharau mpira akijaribu kufanya yake |
| Bw. Abisay (Striker) akifanya yake kupasha kwa mazoezi |
| "One Touch au Two Touch" ilimradi aliyekati asiguse mpira |
| Mazoezi ya "One Touch Passes" yakiendelea |
| Kuzunguka ndaniya duara kutafuta mpira si kazi ndogo!! Bw. Revo akiwa hoi |
| Alex ni kama anasema "Eeeh huyu mbona anatumua nguvu sana"? |
Mazoezi ya Skills, Chenga na Flexibility yalianza kama hivi
(Weka caption yako)
Na iliendelea kama hivi...
(Weka caption yako)
Kanakwamba haikutosha, iliendelea hivi tena...
(Weka caption yako)
| Kimchele mchele...!! |
| Bw. Aby akielekeza mazoezi ya kunyoosha misuli uzuri |
| Kila mtu alikuwa hoi, Bw. Kanta akitoa maelekezo ya kumalizia |
Baada ya mazoezi mazuri...
(Vijana hujongea katika Club yetu ya Silver Pipe kutoa uchovu)
| Bw. Saidi na Bw. Bato wakipumzika kusubiri kwenda kuoga |
| Kila mmoja hujipatia kimiminika akipendacho kurudisha nguvu mwilini, huku wakifuatilia ligi mbali mbali za ulaya kwenye big screen |
| Hutumia mda huu pia kubadilishana mawazo |
| Katika mazingira mwanana |
________________________________________________________
Mazoezi ya 3 Week - MAY yaliishia hapa
--
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Karibuni wote 4 Week - MAY (Jumamosi Saa Kumi Alasiri)
-
-
-
-
Angalia hapo chini, pima uwiano wa uzito wako na urefu uone uko katika kali gani
Tunza afya yako na pata ushauri wa milo sahihi



.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)