Habari na Matukio

Habari 

na

Matukio

____________________________________________________


Safari ya Bagamoyo
Maandalizi ya safari ya Bagamoyo yanapamba 
moto, ongeza ushiri wako katika mazoezi ili 
ujumuike na timu. Kutakuwa na matukio 
mbalimbali ikiwamo:
- Mechi ya mpira wa miguu
- Kuogelea (Baharini na Pool)
- Michezo ya ufukweni
- Nyama Choma na Vinywaji
- Zawadi kwa Mfungaji bora na Nyota wa mchezo

___________________________________________________ 

Bwana Abisay Coy
(Striker)
alifunga pingu za maisha 01|Dec|2012
Kama timu tunampongeza kwa hatua hii

 

 



Bwana John Mero
(Midfilder)
alifunga pingu za maisha 24|April|2013
Kama timu tunampongeza kwa hatua hii 





_____________________________________________________________________________
MATUKIO
_____________________________________________________________________________

Baada ya mchezo, jezi hupita "Dry Cleaner"

















Huyu bado anajishauri..."sijui nichezee au nisepee mana huyu kocha huyu"!!



















Hapa jamaa wakifanya mipango ya kununua ushindi.."Caught on Camera"







Hakuna maoni:

Chapisha Maoni