Silver Pipe Veteran
Kama ilivyo ada, hili ni juma lingine la KWANZA katika mwezi huu wa Sita (June) wadau walijumuika tena katika viwanja vya Kawe Round About
na soccer ilipigwa kisawia.
Na matukio yalikuwa kama hivi...
Apa wadau wakijiandaa.....
eehee wadau wameanza shika viuno ata mazoezi hayajaanza...Hatari hii
Mazoezi yakaanza rasmi....
apa wanapasha mwili kidogo..
| apa jamaa kama anacheza style ya TMK mapanga shaaa... |
| Kiduku hiki.. |
apa Mazoezi ya Viungo..
| Jamaa kanuna kama kalazimishwa... |
baada ya mazoezi ya kupasha na viungo sasa kabumbu likasakatwa,kulikua hapatoshi...
Jamaa wapo hoi..
| huyu nae kitambi hakiishi na mazoezi yote ayo.. |









