Alhamisi, 23 Mei 2013

3 Week - MAY: Mazoezi Uwanja wa Kawe Round About

Silver Pipe Veteran
Kama ilivyo ada, hili ni juma lingine la TATU katika mwezi huu wa Tano (May) wadau walijumuika tena katika viwanja vya Kawe Round About na soccer ilipigwa kisawa. Mahudhurio hayakuwa mazuri sana kwani wengi wao walikuwa wamekwenda shuhudia mpambano wa watani wa jadi Simba Vs Yanga

Na matukio yalikuwa kama hivi...

Hii ndio "Quality" ya nyasi za uwanja wetu
Bw. John Mero (Kulia) akibadilishana mawazo na Bw. Kanta dakika chache kabla ya kuanza mazoezi
Bw. Alex akifanya mazoezi binafsi akionyesha skills na kontrol

Bw. Kapya akiwa kwenye mazoezi binafsi akionesha skills na kontrol






Bw. Saidi nae akifanya yake, vitu binafsi kabla ya mazoezi ya jumla

Bw. Bato (Kulia) na Bw. Joseph (Kushoto) wakifanya yao kabla ya mazoezi ya jumla

Bw. Nicolas (Striker) akifanya moja-mbili na kupasha misuli kabla ya kujumuika na timu
Bw. Kanta (Midfilder) akiudharau mpira akijaribu kufanya yake
Bw. Abisay (Striker) akifanya yake kupasha kwa mazoezi





























































"One Touch au Two Touch" ilimradi aliyekati asiguse mpira

Mazoezi ya "One Touch Passes" yakiendelea
Kuzunguka ndaniya duara kutafuta mpira si kazi ndogo!! Bw. Revo akiwa hoi
Alex ni kama anasema "Eeeh huyu mbona anatumua nguvu sana"?
       _____________________________________________________________________

Mazoezi ya Skills, Chenga na Flexibility yalianza kama hivi
(Weka caption yako)

 
 
 
 


 
 


Na iliendelea kama hivi...
(Weka caption yako)

 
 
 
 
 

Kanakwamba haikutosha, iliendelea hivi tena...
(Weka caption yako)


 
 
 

Basi ikarahisishwa ikawa hivi...

Kimchele mchele...!!

Bw. Aby akielekeza mazoezi ya kunyoosha misuli uzuri
Kila mtu alikuwa hoi, Bw. Kanta akitoa maelekezo ya kumalizia
 Wote Hoi...
 
 
 

 Baada ya mazoezi mazuri...
(Vijana hujongea katika Club yetu ya Silver Pipe kutoa uchovu) 

Bw. Saidi na Bw. Bato wakipumzika kusubiri kwenda kuoga

Kila mmoja hujipatia kimiminika akipendacho kurudisha nguvu mwilini, huku wakifuatilia ligi mbali mbali za ulaya kwenye big screen

Hutumia mda huu pia kubadilishana mawazo

Katika mazingira mwanana
 ________________________________________________________

Mazoezi ya 3 Week - MAY yaliishia hapa
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Karibuni wote 4 Week - MAY (Jumamosi Saa Kumi Alasiri)
-
-
-
-
Angalia hapo chini, pima uwiano wa uzito wako na urefu uone uko katika kali gani

Tunza afya yako na pata ushauri wa milo sahihi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni