Jumanne, 11 Juni 2013

1 Week - JUNE: Mazoezi Uwanja wa Kawe Round About


Silver Pipe Veteran
Kama ilivyo ada, hili ni juma lingine la KWANZA katika mwezi huu wa Sita (June) wadau walijumuika tena katika viwanja vya Kawe Round About na soccer ilipigwa kisawia.

Na matukio yalikuwa kama hivi... 
 
Apa wadau wakijiandaa.....
 


 

 
 




Jimmy alikuja kuuza sura tu...
 
 eehee wadau wameanza shika viuno ata mazoezi hayajaanza...Hatari hii




Mazoezi yakaanza rasmi....
                                 apa wanapasha mwili kidogo..












apa jamaa kama anacheza style ya TMK mapanga shaaa...

Kiduku hiki..

 apa Mazoezi ya Viungo..






Jamaa kanuna kama kalazimishwa...




baada ya mazoezi ya kupasha na viungo sasa kabumbu likasakatwa,kulikua hapatoshi...




Jamaa wapo hoi..
huyu nae kitambi hakiishi na mazoezi yote ayo..

 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni